Monday, June 22, 2015

WANAJESHI WAWILI WA TANZANIA WAUAWA DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amelaani vikali shambulizi la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambalo limeuwa wanajeshi wawili wa umoja huo ambao wanatoka Tanzania.

0 comments:

Post a Comment