Monday, July 20, 2015

Kanisa la E.A.G.T_Kimara Dar es Salaam,linakleta Mwimbaji mahiri katika nyimbo zakumsifu Mungu'Rose Tindwa,'kutoka Mbeya hadi Dar es Salaam.nyimbo ni nzuri zenye faraja na Amani.Pata nakala yako kwa bei poa.Hakika utabarikiwa.sikia hiyo kama sehemu tu.Nyingine nyingi nzuri zimo katika Albam hiyo.
Au piga sim moja kwa moja,Uzungumze na Mwimbaji Mahiri.Karibu..............

1 comment: