Chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania kimetangaza kuwa
aliyekuwa waziri mkuu (CCM) Edward Lowassa atakuwa mgombea wake wa urais
wakati wa uchaguzi wa mwezi Octoba.
Bwana Lowassa alijiunga na Chadema wiki moja iliopita baada ya kuhama kutoka chama tawala cha CCM ambapo alikuwa mwanachama kwa zaidi ya miaka 30.
Alifeli katika jaribio lake la kutaka kuwa mgombea wa chama cha CCM mwezi uliopita.

"Lowassa ndiye mgombea wa CHADEMA"