Saturday, July 4, 2015

"CHUO CHA SOKA CHAFUNGULIWA NCHINI KENYA"


Chuo cha soka chafunguliwa rasmi nchini Kenya,katika eneo la Elgeyo Marakwet,lengo na madhumuni ni kukuza vipaji kuanzia umri mdogo.

0 comments:

Post a Comment