Monday, June 22, 2015

WANAWAKE KUSHIRIKI MAFUNZO YA KAMPENI_TANZANIA

Mmoja wa Wanasiasa anayechipukia Asha Salum anakazi ya kujaribu kuwashawishi watu katika eneo lake la Dar Es Salaam kumuunga mkono kugombea nafasi ya udiwani katika uchaguzi ujao mwaka huu, na anaongeza idadi ya wanawake wanaotafuta ofisi ya kisiasa nchini Tanzania.
 Mwanasiasa huyo, ambaye ana umri wa miaka 31 ni Mgombea mdogo katika nafasi ya udiwani katika jimbo la uchaguzi la Tegeta lililopo Kawe katika kipindi cha miaka 20, ni mmoja wa wanawake wa kizazi kipya ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuingia katika uwanja wa siasa ambao umezoeleka kudhibitiwa na wanaume.

0 comments:

Post a Comment