Friday, June 26, 2015

"WAMASAAI NI WASUSI HODARI_TZ"

www.pewainformation.blogspot.comImezoeleka kuwa Mmasaai huwa mbugani na mifugo yake akiwa na mifugo mingi,
Lakini sasa sura hiyo imeanza kubadilika kutokana na kupungua kwa mvua na nyasi za malisho.
Vijana wa Ki-Maasai wamelazimishwa kuhama kwao huko Serengeti na sasa wanapatikana
 jijini Dar es Salama kutafuta ajira.

0 comments:

Post a Comment