Friday, August 7, 2015

WALIOWATEKA NYARA WAHUBIRI,'WADAI FIDIA KUWAACHIA

watu waliojihami kwa bunduki wametaka kulipwa fidia ili kuwaachia wahubiri sita wa kiislamu waliotekwa nyara mashariki mwa jimbo la kivu katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.

0 comments:

Post a Comment