Monday, June 22, 2015

WATU WALIOFARIKI KWA POMBE INDIA WAFIKA 90

Zaidi ya watu 90 wamefariki kutokana na pombe iliokuwa na sumu katika mji wa India, Mumbai huku wengi wengine wakiwa hospitalini.

Vifo vya kwanza viliripotiwa siku ya jumatano.
Naibu wa kamishna wa polisi katika mji huo amesema kuwa watu 150 waliokunywa pombe hiyo iliotengezwa nyumbani katika mtaa mmoja wa mabanda.

0 comments:

Post a Comment