Mmoja wa Wanasiasa anayechipukia Asha Salum anakazi ya kujaribu
kuwashawishi watu katika eneo lake la Dar Es Salaam kumuunga mkono
kugombea nafasi ya udiwani katika uchaguzi ujao mwaka huu, na anaongeza
idadi ya wanawake wanaotafuta ofisi ya kisiasa nchini Tanzania.
Mwanasiasa huyo, ambaye ana umri wa miaka 31 ni Mgombea mdogo
katika nafasi ya udiwani katika jimbo la uchaguzi la Tegeta lililopo
Kawe katika kipindi cha miaka 20, ni mmoja wa wanawake wa kizazi kipya
ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuingia katika uwanja wa siasa ambao
umezoeleka kudhibitiwa na wanaume.
No comments:
Post a Comment