ISRAEL YAPUNGUZA VIKWAZO KWA PALESTINA MWEZI WA RAMADHANI
Israel imetangaza kuwaondolea vikwazo kadhaa wapalestina wa Ukanda wa
Gaza na Ukingo wa Magharibi, kama ishara ya nia njema wakati wa mwezi wa
Ramadhan, ikiwamo fursa ya kuswali sala ya Ijumaa katika msikiti wa
Al-Aqsa.
No comments:
Post a Comment