Imezoeleka kuwa Mmasaai huwa mbugani na mifugo yake akiwa na mifugo mingi,
Lakini sasa sura hiyo imeanza kubadilika kutokana na kupungua kwa mvua na nyasi za malisho.
Vijana wa Ki-Maasai wamelazimishwa kuhama kwao huko Serengeti na sasa wanapatikana
jijini Dar es Salama kutafuta ajira.
No comments:
Post a Comment