Zaidi ya watu 90 wamefariki kutokana na pombe iliokuwa na sumu katika
mji wa India, Mumbai huku wengi wengine wakiwa hospitalini.
Vifo vya kwanza viliripotiwa siku ya jumatano.
Naibu wa
kamishna wa polisi katika mji huo amesema kuwa watu 150 waliokunywa
pombe hiyo iliotengezwa nyumbani katika mtaa mmoja wa mabanda.
No comments:
Post a Comment