Vijana 60 kutoka Afrika walioteuliwa kati ya mamia ya washirki, wanatarajiwa kupata tuzo ya Malkia wa Uingereza.
Vijana hao, wanatarajiwa kuzawadiwa kwa mchango wao katika masuala ya kimaendeleo kwa mataifa yao.
Kupitia
mpango unaofahamika kama tuzo za Malkia wa Uingereza Elizabeth maarufu
kama Queen's Young Leadership Award vijana hao watakutana na Malikia na
viongozi wengine wa Uingereza.
No comments:
Post a Comment